
Mtaalamu toka TANESCO, Hamis Mlangula akimwonesha Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi ‘Automatic meter reader’ ambayo inatoa taarifa sahihi za vipimo vya matumizi ya umeme chombo ambacho kitapunguza malalamiko kati ya wateja na TANESCO pamoja na vitendo vya wizi wa umeme kwa wale watakaojiunganishia umeme kinyemela, kutokana na kifaa hicho kutumia internet ambayo inatoa taarifa Makao Makuu pale kitakapoguswa.