
Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO) katika Mwenzi mtukufu wa Ramadhani wafutarisha pamoja na kuwaombea Dua Jamaa wote waliotangulia mbele ya haki.

Waumini wakiwa katika futari iliyoandaliwa na jumuia ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community, katika ukumbi wa Hillandale Local Park, New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Nchini Marekani.