Baadhi ya wahudumu kutoka Mpango wa Taifa wa damu salama wakitoa maelekezo na upimaji wa wingi wa damu kwa wakaazi wa jijini Dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu kwa hiari duniani, zoezi hilo lenye kauli mbiu “Damu salama kwa ukombozi wa akina mama”limefanywa kwa ushirikiano wa Kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania na Mpango wa Taifa wa damu salama nchini.
Ofisa Muuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama Bi. Selina Sahani akimtoa damu Meneja Mauzo wa kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania Bw. David Ludovick katika viwanja vya Mlimani City mwishoni mwa wiki, zoezi hilo la uchangiajia damu kwa hiari lenye kauli mbiu “Damu salama kwa ukombozi wa akina mama” liliadhimishwa kwa ushirikiano chini ya Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama na Kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania.
Mmoja wa wauguzi kutoka Mpango wa Taifa wa damu salama akimpima mmoja wa wakaazi wa jijini aliyejitokeza katika zoezi la uchangiaji damu kwa hiari lililofanyika katika viwanja vya Mlimani City jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki, zoezi hilo lilifanywa kwa ushirikiano wa Mpango wa Taifa wa Damu salama na Kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania.
Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam waliojitokeza katika zoezi la uchangiaji wa damu kwa hiari wakipata maelekezo kutoka Meneja wa huduma za kitabibu wa kampuni ya bima ya Jubilee Tanzania Bw. Rogation Selengia ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya uchangiaji ya kuchangia damu duniani ambapo kauli mbiu ya mwaka huu ni “Damu salama kwa ukombozi wa akina mama”zoezi hili liliendeshwa mwishoni mwa wiki kwa ushirikiano wa Mpango wa Taifa wa damu salama na kampuni ya bima ya Jubilee Tanzania.
Meneja Mauzo wa kampuniya Bimaya Jubilee Tanzania Bw. David Ludovick (kushoto) akitoa maelezo ya kina kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza katika zoezi la uchangiaji damu kwa hiari katika kilele cha siku ya uchangiaji damu duniani, zoezi hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mlimani City jijini.
Jubilee Insurance Yahamasisha Uchangiaji Damu
KILA mwaka tarehe 14 Juni ni siku ya kuchangia damu duniani, Jubilee Insurance chini ya idarayakeya utabibuikishirikiana na wizara yaafyaTanzania na ustawi wa jamii (National Blood Transfusion) ingependakuchukuafursahiikuwakaribishaWatanzaniawotekatika kuokoamaisha kwa kuchangia damu katika haflaitakayofanyika Mlimani City tarehe 14 Juni 2014 kuanziasaa 2 asubuhimpakasaa 8 mchana.
Mbiu ya mwaka huu ni “Damu salama kwa ukombozi wa akina mama.”
1. Kwa nininiJubilee Insuranceinafanyahivi? –
Jubilee Insurance ikiwa sehemu ya jumuiya ya kimataifa, inawajibu wa kuchangia katika sekta ya afyana maishayawanajamii. Tunadhaminisanamaisha ya kaka na dada zetu, ilazaidi ni mateso na maumivuwapatayo kina Mama katika kutuhudumiasisi.
2. Jubilee Insuranceimehusika katika shughulihiikwamudagani?
Hiinimara ya pili kwa hapaTanzania, mara ya kwanza walichangiawafanyakaziwetu, ambapo TNBS walikujaofisi za Jubilee kwa ajili ya mchango wa damu, wafanyakaziwengiwalishiriki
3. ShughuliganinyingineJubilee Insuranceimewahikufanyakabla yahii?
Kama kampuni ya bima, Jubilee Insurancehutoa hudumazotezitolewazona bima, miongonimwahudumahizo ni bima za matibabu, bima za magari na zisizo za magari, bima za moto na kadhalika.
4. Jubilee wanalengoganikutokananaHaflahii?
Lengonikuletawatuwenyenianjemapamojawaweze kuchangia damu zaokwa ajili yakuokoamaisha ya akina mama – tunaelewahatarikubwainayowakabiri kina mama kabla na baada ya kujifungua. Kina mamahupoteza damu nyingi. Matokeoyakenikupoteza maisha. Jubilee inajitahidiikutokomezasuala hili.