Josephat Torner Kushiriki Katika Filamu ya Albino

Josephat Torner


NDUGU zangu wapendwa nawasalimu katika jina la alie juu yeye atupae uzima. Naomba niwajulishe Watazania wote waishio UK kuwa ndugu yetu Josephat Torner alieshiriki katika BBC Documentary ya albino killings in Tanzania iliyooneshwa mwaka jana ameshawasili tokea jana tayari kushiriki katika film nyingine itakayooneshwa siku ya Ijumaa Machi 12, 2013.

Josephat Torner angependa sana kukutana na Watanzania waishio huku nje ili atueleze uzito wa hili suala na jinsi tutakavyoweza kusaidiana. Tunawaomba Watanzania tujitokeze kwa wingi tumuunge mkono huyu ndugu yetu kwa jitihada zake na ujasiri wake kwani ni kazi inayohitaji moyo na kuumiza roho sana kusikia mateso wanayoyapata hawa wenzetu wenye ulemavu wa ngozi.

Filmed over six years, In the Shadow of the Sun tells the story of two men with albinism in Tanzania, Josephat Torner and 15-year-old Vedastus, who are pursuing their dreams in the face of virulent prejudice. Through his intimate portrait, filmmaker Harry Freeland reveals a story of deep-rooted superstition, heartfelt suffering, and incredible strength.

Please note: All Human Rights Watch Film Festival screenings will start promptly at the advertised time.

SHOWING AT: SOHO CURZON, FRIDAY 15 MARCH 2013
TIME: 18:30, ADVISED 16