JK, waombolezaji wamuaga marehemu Azizi Sheween

Rais Jakaya Kikwete na Rais mstaafu alhaj Ali Hassan Mwinyi na waombolezaji wakiswalia mwili wa Marehemu Azizi Sheween Ofisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE, ambako alifariki dunia mwisho wa mwezi uliopita na mwili wake kuwasili Janaury 6, 2012 kutoka huko, umeagwa rasmi na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake Moshi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo.

Rais Jakaya Kikwete, Rais mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue na waomboezaji kwenye msiba wa Marehemu Azizi Sheween Ofisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE, ambako alifariki dunia mwisho wa mwezi uiopita na mwili wake kuwasili January 6, 2012, umeagwa rasmi na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake Moshi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo. (Picha zote na Ikulu)