
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadilaiana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataiaf, Bernrd Member na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Fedha na Uchumi) Dk. Mwinyihaji Makame Mwadini katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia January 29, 2012. Picha na Ikulu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia January 29, 2012. Picha na Ikulu.