
Rais Jakay Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron mjini Davos, Uswisi. Picha na Ikulu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bill and Melinda Gates Foundation, Bill Gates wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Switzerland. Picha na Ikulu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Thailand, Bi. Yingluck Shinawatra wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Switzerland. Picha na Ikulu.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga baada ya kufanya naye mazungumzo mjini Davos. Picha na Ikulu.