JK Awatembelea Majeruhi wa Bomu Arusha Taswira wakatia Rais Kikwete alipotembelea hospitali ya Mount Meru Mei 7, 2013 kufariji majeruhi wa mlipuko wa bomu katika kanisa la Olasiti jijini humo Jumapili iliyopita