
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri Ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma leo. PICHA NA IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Dodoma leo Februari 10, 2012