JK Awasili Dar Baada ya Ziara China na Vietnam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akiwasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere ulioko jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi nchini China na Vietnam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere pamoja na baadhi ya viongozi wengine mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi nchini China na Vietnam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere pamoja na baadhi ya viongozi wengine mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi nchini China na Vietnam. (PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DSM)