Vijana vyuo vikuu Dar es Salaam wakiserebuka katika mahafali yao.
Vijana hao wakiendelea kuserebuka katika mahafali ya 2016 ya Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CCM.
Hapa ni furaha kwa kwenda mbele katika mahafali ya 2016 ya Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CCM .
Ni kama wanasema’ Hapa ni ushindi tu 2020 kwani vijana tumejipanga.
Vijana wakiwa kwenye hafla ya mahafali ya 2016 ya Shirikisho la wanafunzi wa vyuo vikuu wa CCM.