Rais Jakaya Kikwete akipokea nyaraka mbalimbali kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usimamizi la Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) tawi la Tanzania, Prof. Hassa Mlawa. Rais Kikwete anatarajiwa kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Wanachama wa APRM utakaofanyika Januari 26, Addis Ababa, Ethiopia ambapo ripoti za nchi za Tanzania na Zambia zitajadiliwa. (Picha kwa Hisani ya Freddy Maro wa Ikulu)
President Jakaya Kikwete of Tanzania receives various documents from the chairman of the APRM Tanzania Governing Council, Prof. Hasa Mlawa being preparations for the president to submit his country’s report in Addis Ababa, Ethiopia on 26 January, 2013. (Photo courtesy of Freddy Mary of State House)