JK aongoza maadhimisho ya siku ya mashujaa katika bustani za Mnazi mmoja jiji Dar
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Juli 25, 2012 ameongoza Watanzania katika kuadhimisha siku ya Mashujaa Kitaifa katika Bustani ya Mnazi Mmoja Dar es salaam.