JK amuapisha Dk. Msekela kuwa balozi Italy

Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Dk. James Msekela kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dk. Gharib Mohamed Bilal na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa, John Haule (kulia) na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Penaeli Lyimo (kushoto) na Dk. James Msekela baada ya kuapishwa kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Dk. James Msekela na Familia yake baada ya kuapishwa na JK kuwa balozi wa Tanzania Italy leo Ikulu jijini Dar. (Picha zote na Ikulu)