JK amuaga balozi Robert J,Orr

akimsindikiza

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Juni 7, 2012 katika Ikulu ya Dar es salaam amekutana na kuagana na Bw Robert J. Orr, Balozi wa Canada nchini, anayemaliza muda wake wa uwakilishi.