JK akizindua mradi wa Umeme wa Lumama

Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwa na Mbunge wa Ludewa Mh Deo Filikunjombe (shoto) na Mwenyekiti wa CCM Iringa, Sanga ‘Jah Pipo’ muda mfupi kabla ya kuzindua mradi wa Umeme wa Lumama kijiji cha Mawengi, Ludewa, utonufaisha wananchi wapatao 10,000 katika vijiji vya Lupande, Mawengi na Madunda. (Picha na Blog ya Ikulu)