Jengo kuu la Chuo cha Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu cha Chuo Kikuu cha Dodoma mjini Dodoma
Sehemu ya majengo ya Chuo cha Sayansi ya Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu ya UDOM
Sehemu ya barabara ya lami ya kutoka na kuelekea vyuo mbalimbali vya UDOM
Mhe. Baraka Konisaga, ambaye ni Mjumbe wa Kikao cha kazi cha viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri nchini akitoa rais binafsi muda mfupi kabla Rais Jakaya Mrisho Kikwete hajafunga rasmi kikao hicho cha siku tatu kilichojumuisha wajumbe zaidi ya 900 kuzungumzia sekta ya elimu ili kupanga mikakati na kutatua changamoto zinazoikabili, katuika ukumbi wa Chimwaga katika Cho Kikuu cha Dodoma mjini Dodoma Ijumaa Oktoba 3, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunga rasmi Kikao cha kazi cha viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri nchini katuika ukumbi wa Chimwaga katika Chuo Kikuu cha Dodoma mjini Dodoma.
src=”http://3.bp.blogspot.com/-jF3X9lBirNY/VC_M2rFFVMI/AAAAAAAGnt8/Is69QJ1gjGE/s1600/u6.jpg” height=”336″ width=”640″ />
Sehemu ya majengo ya Chuo cha Afya na Uchunguzi wa Magonjwa ya Binadamu ya UDOM