Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili Prof. Ephata Kaaya Cheti cha Udaktari wa Public Health (Honoris Causa), kufuatia Shahada aliyotunukiwa na Chuo hicho mwaka 2010 kwa Kutambua mchango wa Rais Kikwete katika kuendeleza Sekta ya Afya nchini. Sherehe hiyo fupi ilifanyika Novermba 23, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Cheti cha Udaktari wa Public Health (Honoris Causa), kufuatia Shahada aliyotunukiwa na Chuo hicho mwaka 2010 kwa kutambua mchango wake katika kuendeleza Sekta ya Afya nchini. Sherehe hiyo fupi ilifanyika Novermba 23, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa Kampasi ya Afya ya Chuo Kikuu cha Dodoma kutoka kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (National Health Insurance Fund) NHIF Bw. Emmanuel Humba Novemba 23, Ikulu jijini Dar es salaam .