Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi na waumini wengine wa Mkoa wa Lindi aliowakaribisha katika futari Ikulu ndogo ya Mkoani Lindi Julai 30, 2012.
Mkuu wa Mkoa a Lindi, Ludovick Mwananzila akishiriki katika futari hiyo pamoja na waalikwa wengine. PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wageni waalikwa baada ya kufuturu. PICHA NA IKULU