![AKIWASILI UKUMBINI](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/AKIWASILI-UKUMBINI.jpg)
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa kwa shangwe alipowasili katika ukumbi wa mikutano kwenye sherehe za “Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
![JK akihutubia](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/JK-akihutubia.jpg)
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kama Mgeni Rasmi kwenye sherehe za “Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa
wa Pwani.
![akitembelea eneo](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/akitembelea-eneo.jpg)
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wenyeji wake kwenye b kwenye sherehe za “Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindua leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
![akiwa na wanafunzi](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/akiwa-na-wanafunzi.jpg)
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha sita wa Marian Girls Secondary school kwenye kwenye sherehe za “Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindua leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani