Jiji la Dar Bado Limejaa Maji!

20140422-151826.jpg

20140422-151927.jpg

Kama picha zinavyoonyesha hapo juu, jiji la Dar limeendelea kutesa wakazi wake kwa madimbwi yaliyosheheni Kila kona baada ya mvua kunyesha. Hapo ni maeneo ya Mayfair Plaza karibu na TMJ Hospital. Ni wakati sasa kwa serikali kuhakikisha jiji(inchi) Ina mifereji endelevu, ili kupunguzia wananchi kadhia hii.

Picha zote na Mpiga picha maalum wa dev.kisakuzi.com