Jhikoman Awasili Finland Tayari kwa Kazi

Jhikoman

Jhikoman

MWANAMUZIKI maarufu wa Reggae Afrika Mashariki, Jhikoman na mzuka wake wa Afrikabisa Band kutoka Mjini Bagamoyo, Tanzania ameshawasili nchini Finland kwa ziara ya miezi mitatu barani Ulaya.
Mwanamuziki huyo alutua katika uwanja wa ndege wa HELISINK mapema Aprili 24 2014, ambako anataraijia kufannya maonesho makubwa ya kimataifa katika nchi za Ujerumani, Finland, Norway na kwingineko.