Jeshi lapolisi mkoani Ktavi limepokea jezi za mpira wa mchezo wa miguu kwalengo kuendeleza uhusiano wa polisi shirikishi pichani anaonekana mbunge wa viti malumu mkoa wa Katavi Mh Dr Prudenciana Kikwembe akimkabidhi Rpc wa Mkoawa Katavi Kamishina msaidizi wa Jeshi la polisi Dhahiri Kidavashari na aliye simama pembeni anashuhudia ni Mkuu wa wilaya ya Mlele Kanali Ngemera Rubinga makabidhiano hayo yalifanyika mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika kijiji cha kibaoni Mkoa wa Katavi