Jerry Silaa Afuturu na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Uchumi Mwanza

Mstahiki meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa wakipata futari jioni ya jana pamoja na wajumbe wa kamati ya kudumu ya uchumi na huduma za jamii wa Manispaa ya Ilala ndani ya Jiji la Mwanza.

20130710_192048_resized

Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula (wa tatu kulia) pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (wa pili kushoto)  wakibadiisha mawazo na wajumbe wa kamati ya kudumu ya uchumi na huduma za jamii wa Manispaa ya Ilala ndani ya Jiji la Mwanza wakati wa futari ya pamoja chungu cha kwanza katika mwezi huu mtukufu wa Ramadan.

20130710_192017_resized

Wakinamama nao wakijinafasi upande wao.

20130710_192004_resized