Jengo la Gorofa Moja Linakodishwa Dodoma

Muonekano wa Jengo la Gorofa Moja Linalokodishwa, Dodoma.

Muonekano wa Jengo la Gorofa Moja Linalokodishwa, Dodoma.

Muonekano wa Jengo hilo ambalo lipo Katikati ya Mji wa Dodoma, lenye Ghorofa moja linakodishwa tunapenda kuwakaribisha Mtu binafsi, makampuni, shirika au taasisi ambayo inataka kufungua ofisi au imekuwa ikihitaji jengo kwa ajili ya Ofisi sasa Jengo zuri tu lenye huduma zote muhimu lipo na nafasi pia zipo Karibu Kwa Mawasiliano Zaidi.
Piga namba hii 0787 970 072
 Korido Kama inavyoonekana 
 Vyumba vyake ni Vikubwa na Unaweza kufanya Ofisi kama inavyoonekana kwenye picha.
 Sehemu ya Kupandia Kwenda kwenye ghorofa ya Kwanza

Ni Jengo la Ghorofa 1 ambalo hapo awali lilikuwa ni hotel lakini kwasasa linapagishwa kwaajili ya Makampuni, Maofisi na Mashirika mbalimbali au Watu binafsi ambao wanahitaji Ofisi Mkoani Dodoma, Jengo Hilo linapatikana Mkoani Dodoma na Lipo Katikakati ya Mjini Kabisa huku likiwa na Huduma Zote Muhimu za Kijamii. Kama Kampuni, Shirika, au Taasisi inataka kupanga au Mtu Binafsi basi asisite kuwasiliana na Sisi kupitia namba hii 0787 970 072