ANGALIA sehemu ya mahojiano na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1995, 2000, 2005, 2010), Prof. Ibrahim Lipumba, akizungumzia kilichomleta nchini Marekani, hali ya siasa ndani ya CUF na kwanini chama chake kimepoteza mguso kwa Wananchi, siasa za nchi na hata kujibu maswali toka kwa wasomaji mbalimbali waliouliza kupitia mtandao wa Facebok. Tembelea:
https://www.youtube.com/watchv=zBWVcYG_Tqs&feature=youtube_gdata_player