Je, Jennifer Hudson ni “Lesbian” ?

83rd Annual Academy Awards - Arrivals
Jennifer Hudson ni mwimbaji na mwigizaji mashuhuri na kama unakumbuka aliimba wimbo ambao wengi wetu tunaukumbuka “And I’m Telling You” kwenye movie ya Dreamgirls , hivi karibuni kumekuwa na tetesi kuwa inawezekana yeye ni “lesbian” habari kutoka PriceSource zinasema tetesi zimetokana na show ya wimbo wa “same love” alioimba na Macklemore pamoja na Mary Lambert kwenye 2013 MTV Video Music Awards.

“Kama mtu unafikiria hivyo, mimi sijali” ndio Jennifer alivyowajibu watu ambao wanamfikiria kuwa yeye ni msagaji, na akaongezea kusema kuwa yeye sio “lesbian” ila hajali watu wanaomfikiria kuwa yeye ni “lesbian”.