Je Huu ni Usafiri Kafiri Au..?

20140423-162052.jpgPichani, ni wakazi wa jiji la Dar es Salaam kama walivyonaswa leo na mpiga picha wetu wakiwa kwenye heka heka za kuingia kwenye Daladala, ambalo lipo kimitego mitego kama picha inavyojionesha hapo juu.

20140423-162325.jpg
Picha hii inaonesha kidumu cha mafuta kikiwa kimefungwa kiaina (kienyeji) kutokea kwenye injini ndani ya basi la abiria. Hivi bahati mbaya ukija kutokea mlipuko ndani ya daladala hili wa kulaumiwa ni nani…? Picha zote na Mpiga Picha Maalum wa dev.kisakuzi.com