C:\Users\Phil\Desktop\123

Iphone 6 na Iphone 6 Plus zimetangazwa

Kwa wale wapenzi wa Iphone, Apple CEO Tim Cook ametangaza kuwa simu mbili mpya ambazo ni Iphone 6 ambayo itakuwa na screen ya 4.7-inch na Iphone 6 plus ambayo itakuwa na screen ya 5.5-inch.
Apple pia wametangaza Apple Pay pamoja na Apple watch.

C:UsersPhilDesktop123

Iphone6 na Iphone 6 plus