
Moja ya mabalozi wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti wakiwamiminia wageni waalikwa kinywaji cha Johnnie Walker katika hafla ya Wahindi ya kuadhimisha Kumbukumbu
Nzuri(Sweet Memory) ambayo hufanyika kila mwanzo wa mwaka, Hafla hiyo ilidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker jijini Dar es Salaam.