Kanisa limejaa na waumini wengine kulazimika kusali wakiwa nje ya Kanisa. Baadhi ya waumini wa Kanisa Katoliki la Kristo Mfalme Tabata jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye maadhimisho ya misa ya pili ya Siku Kuu ya Pasaka leo.
Baadhi ya waumini wa Kanisa Katoliki la Kristu Mfalme la Tabata Jijini Dar es Salaam wakitoka kanisani mara baada ya kuadhimisha misa hiyo takatifu leo.
Watoto wa Utoto Mtakatifu wa Yesu wakiwa kwenye maandamano kutokea kanisani mara baada ya ibada ya Pasaka leo.
Msafara wa Padre, watumishi na watoto wa Utoto Mtakatifu wa Yesu wakiwa kwenye maandamano kutokea kanisani mara baada ya ibada ya misa ya pili katika Kanisa Katoliki la Kristo Mfalme Tabata.

Msafara wa Padre na watumishi wengine walioongoza misa ya pili katika maadhimisho ya Siku Kuu ya Pasaka leo katika Kanisa Katoliki la Kristo Mfalme Tabata.
Msafara wa Padre, watumishi na watoto wa Utoto Mtakatifu wa Yesu wakiwa kwenye maandamano kutokea kanisani mara baada ya ibada ya misa ya pili katika Kanisa Katoliki la Kristo Mfalme Tabata.
Pichani juu ni wana kwaya wa misa ya pili katika Kanisa Katoliki la Kristo Mfalme Tabata wakitoka kanisani mara baada ya kuhudumu misa hiyo leo.
Wana kwaya wa misa ya tatu wa Kanisa Katoliki la Kristo Mfalme Tabata Dar es Salaam wakiwa kwenye maandamano kuingia kanisani tayari kwa kuudumu misa ya tatu ya Siku Kuu ya Pasaka leo.

Msafara wa Padre na watumishi wengine wakiingia Kanisa Katoliki la Kristo Mfalme Tabata Dar es Salaam wakiwa kwenye maandamano tayari kwa kuhudumu misa ya tatu ya Siku Kuu ya Pasaka leo.