Huduma Saba Saba ndani ya banda la NSSF


Ofisa Habari Mwandamizi na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Alfred Ngotezi akimuhudumia mmoja wa wateja waliotembelea Banda la NSSF kwenye Maonesho ya Biashara Kimataifa, yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Temeke Dar es Salaam.


Mmoja wa wafanyakazi wa NSSF akimuhudumia mwananchi aliyewatembelea katika banda lao Saba Saba.