Hospital ya Rufaa Tanga yapokea msaada wa mashuka 200

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Bi. Chiku Gallawa akipokea msaada wa Mashuka toka NHIF

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Bi Chiku Gallawa akizungumza na waandishi wa habari na wafanyakazi, baada ya kupokea msaada huo

Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) akizungumza na wafanyakazi na waandishi wa habari

Mganga mkuu wa Hospitali ya Rufaa Tanga nae akitoa maelezo

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akitoa maelezo

Picha zote na Monica Mnanka