Hizi ni Sababu 13 Zinazowafelisha Wanamuziki wa Kike Bongo

Mwanamuziki wa muziki wa kufoka foka nchini Tanzania, Witness, a.k.a Witness kibonge Mwepec.

Mwanamuziki wa muziki wa kufoka foka nchini Tanzania, Witness, a.k.a Witness kibonge Mwepec.

1. Huwa hawajiamini

2. Wanapenda kutafuniwa yaani hawapendi kufanya kazi za kuchafuka kama za kufuatilia mambo yao wanataka aje mtu awafanyie

3. Siyo washindani ni rahisi kupanic na kukata tamaa

4. Wanapenda kufanya mambo mengi ambayo siyo ya lazima ili wafikie malengo

5. Wanapenda kuchukulia muziki ni kitu rahisi tu kwamba wao wanaweza kaa tu kama malkia wa siafu akaletewa chakula na kazi yake ni kula na kuzaa tuu

6. Ni wavivu mnoo kufuatilia mambo mbali mbali ya kimaendeleo

7. Wamejawa na excuses nyingi mno kwa kujidai wapo busy huwa wapo busy for nothing mara nyingi ni watu wa kujikuta huku wamefulia (maringo saba)

8. Hupenda kuzungukwa na wanaume waliofanikiwa kimuziki ama wanaowasifia hii huwapelekea wadhani ya kuwa nao wanamafanikio kwa kuwa wanapenda shortcut

9. Wanalewa sifa mapema sana ndo maana wengi hufa kabla hata hawajainuka vizuri

10. Huwa hawana vision ya kile wanacho kifanya kwamba wanataka kiweje na wao waweje na watafanya nini mpaka kitimie

11. Hawana nidhamu ya muda na nidhamu binafsi

12. Hawana misimamo binafsi

13. Hawana mipango binafsi

*To be continued*By @witnesz_kibongemwepec