Michuzi
” src=”http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/03/MANDERA-2.jpg” width=”640″ height=”427″ /> Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea Kadi ya Chama chga Chadema iliyorudishwa kwake na Bw. Hussein Yahya aliekuwa Katibu wa Chadema katika Kijiji cha Hondogo leo Machi 29,2014.Picha na Othman Michuzi
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimvalisha Kofia ya CCM,Bw. Hussein Yahya aliekuwa Katibu wa Chadema katika Kijiji cha Hondogo mara baada ya kujiunga na CCM leo Machi 29,2014.Picha na Othman Michuzi

Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akishiriki kuruka sambamba na wakina Mama wa Kabila la Wamasai,wakati alipowasili kwenye Kitongoji cha Nameloki Chatanga,Kijiji cha Umasaini,Kata ya Mandera.Picha na Othman Michuzi