Wachezaji wa timu ya mpira wa Miguu ya Hazina wakiwa katika picha ya pamoja na washabiki wao jana jijini Tanga mara baada ya kuibuka mabigwa wa SHIMIWI kwa mwaka 2011 kwa mpira wa miguu kufuatia timu ya uchukuzi kugoma kupiga penati ya kuamua msindi wa fainali baada ya mchezo kumalizika wakiwa wamefungana bao 1-1. (Picha na Tiganya Vincent, Tanga)