Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu, akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Igunga kuhusu hatua wanazotaraji kuchukua kuhusiana na kukamatwa na polisi wabunge wao wawili kwa kile kilichoelezwa kumdhalilisha mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario, hivi karibuni.
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu, akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Igunga kuhusu hatua wanazotaraji kuchukua kuhusiana na kukamatwa na polisi wabunge wao wawili kwa kile kilichoelezwa kumdhalilisha mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatuma Kimario, hivi karibuni (Picha zote na Victor Makinda, Igunga)