…Hatujawahi Fundishwa Namna Sahihi ya Kula Chakula

...Hatujawahi Fundishwa Namna Sahihi ya Kula Chakula

…Hatujawahi Fundishwa Namna Sahihi ya Kula Chakula

Hi Guys!
WAKATI mwingine huwa ninatamani watu Wote wangekua wanapenda Kujua juu ya afya zao moja ya vitu ambavyo wangekuja kugundua ni kwamba tunaumwa kwa sababu hatujui na wala hatujawahi fundishwa namna sahihi ya Kula chakula. Na pia hatuna nidhamu ya kuwa na muda sahihi wa kula kitaalam, mtu ambaye hula chakula kila siku muda unaoshabihiana huwa ni kitu kizuri mno kiafya ni kuufundisha mwili na wewe binafsi kuwa na discipline ya kula.

Kuna mtu yeye akiona karanga anakula akiona mayai anakula akiona tikiti maji anapeleka pwani kakutana na chocolate twende, mbele kidogo kanunua sambusa kwenye daladala anakula popcorn na soda twende. Akishuka njiani kabla ya kufika nyumbani kala chips mayai kuku na soda. Nyumbani akifika anakula pia sasa hapa Jamani hata mwili wenyewe umejengwa kuweza kuchukua vitu vichache tu kwa ajiri ya kujiendesha ambavyo ni vitamini madini na virutubisho ila watu wana ushurutisha mwili mpaka organs zinashindwa kufanya kazi.

Kiusahahihi ndo maana watu hupata kansa, kisukari, presha, kidney stones, unene uliokithiri na vinginevyo kwa kuwa wana usanya sumu nyingi mwilini ama kwa kujua au kutokujua na hazina kwa kwenda zinalundikana mwilini ndo maana watu wanakufa kwa magonjwa wakati ni vitu ambavyo kila mmoja wetu anapaswa kujifunza na kujua

.

Mfano utakuta mtu anajua zaidi kuhusu gari na namna linatakiwa liwe linaenda service kulikoni yeye kufanya program ya kutoa sumu mwilini, na mtu wa hivi yupo radhi akafanye service ya gari lake hata kwa milioni ila ukimwambia afanye programe ya kutoa sumu mwilini kwa laki tano tu anaruka

BUT Kama ulikua haujui juu ya hili na unataka kutoa sumu mwilini ama unataka kupunguza mwili uzito au Kitambi karibu whatssap #0753320009 #0753320009 #0753320009 #0753320009