Happy Birthday Mzee Mandela! Mzee Nelson Mandela akiwa na Mlimbwende Naomi Campbell katika moja ya harakati zake Mzee Mandela leo tarehe 18/7/2011, ametimiza miaka 93 ya uhai wake! dev.kisakuzi.com inamtakia afya tele na maisha marefu zaidi mzee wetu huyu.