Mh.Mohammed Dewji na Waziri Mkuu wa India.

Waziri Mkuu wa India Mhe. Dkt. Manmohan Singh (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mjini Mhe. Mohammed Dewji katika hafla fupi ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Balozi wa India nchini katika Hoteli ya Kempinski jijini Dar hivi karibuni.Wa kwanza kushoto ni Mke wa waziri Mkuu wa India Mama Gursharan Kaur.

Waziri Mkuu wa India Mhe. Dkt. Manmohan Singh (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mjini Mhe. Mohammed Dewji katika hafla fupi ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Balozi wa India nchini katika Hoteli ya Kempinski jijini Dar hivi karibuni.