Halmaashauri ya Mtaa wa Chang’ombe B Watembelea Kiwanda cha Serengeti

Viongozi wa mtaa wa Chang`ombe `B’ wakitembelea mazingira ya kiwanda cha Bia cha Serengeti jana jijini Dar es Salaam.

Mtaalamu wa mtambo wa kudhibiti maji taka Simon Peter kutoka kampuni ya bia ya Serengeti akitoa maelekezo kuhusu namna mtambo huo unavyofanya kazi katika namna ya utunzaji wa mazingira

Mfanyakazi wa kiwanda cha Serengeti akimuonesha mwenyekiti wa Chang’ombe` B’ aina ya ngano

Mtambo wa kudhibiti maji taka na kuua kemikali.