Halima Mamuya arudisha fomu Uwenyekiti UWT

Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi. Halima Mohamed Mamuya kulia akirudisha fomu ya kuomba kugombea nafasi hiyo kwa Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni UWT Makao Makuu Bi. Riziki Kingwande Dar es Salaam.

Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa, Bi. Halima Mohamed Mamuya