
Ofisa Tawala Mwandamizi wa Wizara ya Fedha Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali, Merkion Ndofi akimkaribisha mwananchi wa Ghana katika banda la Wizara ya Fedha.

Mkuu wa Kitengo cha Mikopo kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Wizara ya Fedha, Bi. Christina Ngonyani akitoa ufafanuzi kwa wananchi wa Ghana juu ya umuhimu wa mikopo kwa Watumishi wa Serikalini.


Mkuu wa Kitengo cha Mikopo ya Watumishi wa Umma wa Wizara ya Fedha Bi. Christina Ngonyani akiwa na Ofisa Tawala Mwandamizi, Merkion Ndofi, wakitoa ufafanuzi kuhusu utendaji wa kazi za Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali kwa wageni waliotembelea banda la Wizara ya fedha.