Hafla ya Uzinduzi Mkutano wa ‘Connect to Connect Summit’

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Patrick Makungu, akifungua mkutano wa masuala ya TEHAMA, “Connect-to-Connect Summit” kwa niaba ya waziri wa wizara hiyo, Prof. Makame Mbarawa. Madhumuni ya mkutano huo ni kuwakutanisha wataalamu, watunga sera, wadhibiti wa huduma za mawasiliano, makampuni ya simu, watoa huduma za mawasiliano na watumiaji wa huduma hizo kwa ajili ya kujadiliana namna ya kuongeza matumizi ya TEHAMA mijini na vijijini. Masuala mengine ni pamoja na ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano, kukuza na kuboresha mazingira ya uwekezaji, matumizi ya teknolojia rahisi nautengenezaji na usambazaji wa vifaa vya huduma za mawasiliano.  Mkutano huo pia umehusisha washiriki kutoka nchi 53 za Bara la Afrika, Ulaya, Asia na Amerika.

Dk. Kamugisha Kazaura, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) akiwakaribisha wajumbe wa mkutano huo. Mkutano huo umeandaliwa na TTCL kwa kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Prof. John Nkoma, akiwasilisha mada kuhusu ukuaji na usimamizi wa Sekta ya TEHAMA nchini Tanzania kwenye mkutano huo.

Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta wa Sudan Kusini, Rebecca Okaci wakiwa na Naibu waziri TEHAMA, Hudama za Posta Zimbabwe, Win B. J Mlambo katika hafla ya Uzinduzi Mkutano wa ‘Connect to Connect Summit’ jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa mkutano huo jijini Dar es Salaam.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kazaura, akizungumza na mshiriki wa mkutano huo.

Prof. Patrick Makungu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia akizungumza na Dk. Ally Simba, Mkurugenzi wa TEHAMA wa Wizara hiyo na mwakilishi wa HUAWEI

Prof. Patrick Makungu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia akizungumza na Mhe. Rebecca Okaci, Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta, Sudan ya Kusini.

Prof. Patrick Makungu, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia akizungumza na Mhe. Rebecca Okaci, Waziri wa Mawasiliano na Huduma za Posta, Sudan ya Kusini.

Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa mkutano huo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa mkutano huo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wazungumzaji katika mkutano huo wakiwasilisha mada katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa mkutano huo jijini Dar es Salaam.