Rais wa Umoja wa Mamlaka za Maji wa Bara la Afrika (AfWA), Duduzile Myeni (kulia ) akifafanua jambo wakati wa ufungaji wa mkutano unaohusu mamlaka hizo kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jiji Dares Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji , Christopher Sayi na kulia kwake ni Rais wa masuala ya Kisayansi na Kiufundi , Silver Mugisha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji , Christopher Sayi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano wa Umoja wa Mamlaka za Maji wa Bara la Afrika (AfWA), mara baada ya kutoa hotuba yake ya ufungaji kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Umoja wa Mamlaka za Maji wa Bara la Afrika (AfWA), Duduzile Myeni (kulia) akifafanua jambo wakati wa ufungaji wa mkutano unaohusu mamlaka hizo kwenye ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jiji Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji , Christopher Sayi