Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (kulia) na mdau Mr. Paul (kushoto) wakiwa wameshika chupa ya Johnnie Walker blue label

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (wa pili kushoto) katika picha ya pamoja na Afisa mawasiliano wa SBL Bi. Hawa (wa pili kulia) wakiwa na wadau Paul (kulia) na Mac (kushoto) waliohudhuria katika hafla ya ‘Johnnie Walker Mentorship’ iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wageni waliohidhuria hafla ya Johnnie Walker Mentorship wakifuatilia kwa makini namna ya utumiaji wa Whisky aina ya Johnnie Walker kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (hayupo pichani)