![Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki kushoto akiangalia baadhi ya nyaraka za Habari Group.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/03/IMG_1007.jpg)
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki kushoto akiangalia baadhi ya nyaraka za Habari Group.
![Habari Group Yazinduliwa](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/03/IMG_1061.jpg)
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki katikati akichangia harambee ya kikundi cha Habari Group ambao ni waanishi wa Habari waliojikusanya kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi na pia kuhudumia jamii isiyojiweza, kikundi hicho kinaendeshwa chini ya jumuiya ya kukuza uchumi Ilala ‘Jukuila’ kikundi hicho kimezinduliwa March 8 Mlezi akiwa ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki wa pili kulia Udhinduzi huo umedhaminiwa na Mfuko wa Pesheni wa PPF pamoja na Hotel ya Lamada, kushoto ni mratibu wa hafla hiyo, Rabia Bakari