Muonekano wa gari ambalo lilitumiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julias Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa Tanganyika. Gari hilo limekarabatiwa na mafundi wa Chuo cha Veta mjini Moshi na sasa linatembea tena.

Mkufunzi wa Chuo cha Veta cha Mjini Moshi, Hubert Makundi akiwaelezea wananchi waliotembelea banda lao namna gari ambalo lilitumiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julias Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa Tanzanyika. Gari hilo limekarabatiwa na mafundi wa Chuo cha Veta mjini Moshi na sasa linatembea tena.

Bango linaloonesha hatua zilizopitiwa na gari ambalo lilitumiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julias Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa Tanganyika, kabla ya kukarabatiwa na kutembea tena.