Futari ya Dk. Shein kwa Wananchi Mkokotoni, Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Viongozi na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,
wakijumuika katika chakula cha futari aliyoiandaa katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Mkokotoni. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulku]

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,(katikati)akijumuika na Wanawake wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, katika futari aliyowaalika viwanja vya Ikulu ndogo Mkokotoni.(pili kushoto) Mke wa Makamo wa Pili wa rais Mama Asha Balozi na Mkuu wa wilaya ya Kaskazini A Riziki Juma Simai,(kulia).[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja wakiwa katika chakula cha futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu Ndogo ya Mkokotoni. {Pichana Ramadhan Othman, Ikulku.]