
ANAYE FANYA KAZI ZAKE ZA UANAMITINDO NCHINI MAREKANI
MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA ANAYE FANYA KAZI ZAKE NCHINI MAREKANI AMBAYE AMEKUWA AKIFANYA KAZI MBALIMBALI ZA KUONESHA MAVAZI JUKWAANI SAMBAMBA NA MATANGAZO YA KIBIASHARA. SASA AMEFANYA NA KAMPUNI YA NEWYORK AND COMPANY KWA AJILI YA MAVAZI YA MAJIRA YA JOTO.